Karibuni, mimi ni Roman na site hii imeanzishwa ili tuweze kujifunza programming.
Masomo yote yatatolewa kwa lugha ya Kiswahili kwa sasa. Site hii ni bure kwa mtumiaji kwa muda huu.
Kwa sasa unakaribishwa kujiunga kwa kwenda https://codeshule.com/wp-login.php?action=register
Pia tembelea forum zetu https://codeshule.com/forums/